Nollywood movie industry ina pigo jingine kubwa and nasasa ni veteran actor Justus Esiri.
Habari zinasema aliaga dunia jumatatu hii iliyopita na familia hikutaka kutoa taarifa mpaka leo masaa machache yaliyopita.
Inasemakana mkali huyu wa sinema za kinigeria amekua akiangaika kimya kimya na ugonjwa ambao unahusiana na umri(71)...Na familia iliamua kuiweka private.
Alikua ni kati ya waigizaji ambao walinifanya kukaa chini na kungalia kile walichokibuni.
Tafuta movie inaitwa "We are one" moja ya kati nazozipenda, yeye akiwemo..
Tutamkumbuka kwa sinema zake.
Pole Nigeria, Pole Familia yake na pole kwa funs wake...
May he rest in peace..
0 comments:
Post a Comment