Nimekua nikifuitalia hii habari sio kwa ukaribu sana, lakini vyombo vya habari vimekua vinatoa tarifa mbalimbali sikutaka kuandika chochote but leo nimeona nishare what i read.
leo nikiwa naangalia Aljazeera, imesemekana kwamba polisi hawaamini in the innocence of the mwanariadha.
Tovuti moja ya habari Africa kusini imejaribu kuweka ilo tukio kuwa yawezekana hiki ndo kilichotokea, siku hiyo ambayo huyo mrembo alipopoteza maisha(may her soul rest in peace).
Polisi bado wanachunguza zaidi na kauli zinatoka kwamba yawezekana haikua bahati mbaya bali ni hasira. Maana inasemekana bidada alikutwa kwenye night wear ikimaanisha kua alikuepo ndani toka mapema kupingana na utetezi wa mwanariadha kwamba alidhani ni mwizi.
Pia insemekana Skull ya bidada ilikua "crushed"kwenye hiyo attack,, pia majirani nao wanasema walickia ugomvi hapo mapema toka nyumbani mwa mwanariadha huyu na yawezekana ilitokana na mawasiliano ndani ya ipad ya bidada,(zimeni simu mkiwa na wapenzi zenu, ushauri tu wa bure)
Inasemekana kwamba yawezekana mkaka alimshoot bidada wakiwa chumbani, na inawezekana he hit her on the hip, na bidada akakimbia bafuni kujificha, ndo alikofuatwa na kupigwa risasi ambazo yawezekana kuwa zaidi ya tatu ambzo zilipelekea yeye kupoteza maisha.
mmhh wacha tusubiri taarifa kamili..
Pole kwa familia ya huyu bi dada..
C...
0 comments:
Post a Comment