Kila tuamkapo twajijkuta tumemka na mizigo mipya.
Tunakubali kutembea na hii mizigo kila tuendako
We most of the times accept carrying these mizigo because we feel that we dont have any other option
We accept,hug and protect these mizigo as if leaving them would cost us so much.
Hii mizigo naongelea hapa ni shida na matatizo ambayo tumeyafanya kua sehemu ya maisha yetu.
Naongelea mizigo mikubwa kama Fear" Uoga" ambao unkufanya usiweze kutekeleza mipango yako mizuri kisa unaogopa kushindwa.
Mzigo kama Wivu "Jelousy" unakufanya kua n wasiwasi na chuki dhidi ya wenzio kiasi kwamba unashindwa kuishi na jamii ikuzungukayo kwa upendo.
Naongelea "hasira" zisizokua na maana, inakufanya usiwe na furaha yoyote.
Naongelea"kutokusamehe",,,huu ni mzigo mkubwa usiobebeka mgongoni, maybe kwenye toroli hata hapo bado utakua mzito...Siri iliwekwa wazi,, kua there is no sweet revenge as forgiveness...
As the swahili saying goes"Matatizo kaumbiwa binadamu"..
Jitahidi kukabiliana nayo, siyo kwa mawazo na machozi bali kwa akili.
Jifunze kutua mizigo unayoibeba kila siku.
Ni jukumu la kila mtu kuweka sawa maisha yake, kufurahia maisha na kuwajibika pale penye wajibu wake.
Maisha ni mafupi kama wengi wasemavyo but it is worthy it to spend your life in happiness.
Money is good, and we all love it, but it cannot buy you happyness, rather love of money brings you lots of mizigo.
Watch out what you do.
Wacha kushikilia mizigo isiyokua na faida kwako,
Be a free soul...
Love life.
Love your self...
Smiles...
Kuishi kwa Furaha
Posted by
Unknown
|
Cay..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment