Furahiii Day!!!

So today is one of those days that i feel like grabbing  myself and go somewhere far, very far from this world,,..
Just feel like treating me well, treating that princess i see in me.
For instance go to a nice beach or hotel and enjoy the day swimming...

I wonder if people take sometime to treat themselves out.
Nafikiri ni vizuri na inapendeza sana pale unapoamua kua incharge of your happyness and enjoyments.
Ni raha sana pale unapokua na uwezo wa kujipeleka sehemu fulani na ukajilipia kwa kila kitu unchokitaka.
Nadhani tuko katika karne ambayo hatutakiwi kukaa chini na kusubiri offer toka kwa mtu mwingine,,
naongea na wadada wenzangu...maana duu,, tunapenda kua treated mpka tunabore"""dont hate me,, hate my words"
Hivi serious kwa nini unakua bahili mpka kwenye kujinunulia kitu chako ukipendacho,, yani mpaka mtu akununulie???

Ushauri tu wa bure,,,
Kipendacho roho hula nyama mbichi"
Mtaka cha uvunguni sharti ainame,,, nikimaanisha you want something good, buy it,,
You want to be treated out, treat others too,, dont be a taker kil siku, somedays hebu na wewe toa...
Be a cheerful giver.
Haya mi natoa offer leo,, nani anataka kupelekwa out????
Lol!!!! ntakupeleka kanisani tukafungue Sabato...

Happy Sabbath..
Smiles..
Candilicious!!!!


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment