Kwa wale wafanyao biashara, nikilenga nchi yangu lakini pia nchi mbazo zimebarikiwa na bahari au Ziwa, basi hata mito lakini itoayo samaki, je ni biashara gani ya samaki ambayo mnafanya?
Ok let mi share ka stori na ka idea kamoja nimekaona huku nilipo.
Jana ilikua ni siku nzuri kwangu, nilikutana na familia moja yenye upendo ambao waliinvite for Lunch na hata baada ya kukaa siku nyingi Maputo, sikujua kuwa jumapili ni siku ya kula bata out of home...Yaani namaanisha, watu wa huku wameweka mazoea ya kupata lunch and dinner out of home, nikimaanisha no cooking on sunday..
Ok so tukaaenda kwenye fish market moja ambayo before nilikua namazoea ya kuja kununua samaki na kuondoka, sikuwahi kuchukua nafasi kulitembelea hili soko nijue linaiishia wapi kwani kwa kipimo cha macho yangu lilionekana sio pana.
Well story isiwe ndefu but here is the idea.
Hawa watu walichokifanya ni hiki,wameweka part mbili,sehemu ya mbele(1st part) ndiko samaki wanapouzwa generally, yaani kwa wale wateja wa ma nyumbani na pia kwa wale wenye kutaka kutayarishiwa hapohapo.
Sehemu ya pili(second part) ambayo iko nyuma ya soko, kuna migahawa, au sitting space for customers who want to have their fish there.
Hivyo you can choose your fish, unatayarishiwa, you eat it na kusepa...
Lakini pia kama you are regular customer na umefahamiana nao, unachukua namba yao na kila unapotaka kwenda you just make a reservation ya table na msosi maana kuna jaa watu, then when you ready you enjoy your food.
Na from what i see, this people have a nice business, sijui labda sijatembea lakini kama kuna kitu kama hiki Tanzania then well done.
Some few photos' i took...
Hapa ndo upande wa mbele, sikuchukua picha nzuri but waweza pata picha ni soko la kawaida tu, kimuonekano.
na hapa ndo tulipokaa sisi, sikuchukua picha ya kuonyesha pakoje exactly, but the table setting iko hivo..
The fam..my bro G and Mummy.. |
Kitu cha prawns hapo kati,,,sweet smiles eeh?zilikua tamujee.. I love this lady.. |
A Plate of calamari"Pweza" |
Haya, Changamkeni na idea hiyo...
Nice day...
Smiles.
C..
0 comments:
Post a Comment