Carry own Wema,,that will pass...

.
.
Mtu akifikia kusema hivi,, basi ukweli ni kua she needs her peace...
Ukweli ni kwamba kila mtu ana level yake ya kuvumilia kashfa au tuhuma mbaya kuhusu yeye,,, na wengineo level ni zero...
Duu ila watu wabaaaaaya...
Pole dada, usikate tamaa, life goes on, wengi wanayo yanayo wasibu, pengine makubwa kukuzidi ni vile tu hawajulikani.....Carry on just remember kila lililo na mwanzo halikosi kua na mwisho...
Usikate tamaa,,,

C..

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment