Wageni wengine noma.
Mwenyeji: Utakunywa soda au chai?
Mgeni: Ntakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke!
Mwenyeji: Hapa kuna sprite na coca nikupe ipi?
Mgeni: Nipe coca sprite niwekee kwenye friji iendelee kupoa.
Mwenyeji: Nikupe mkate au maandazi?
Mgeni: Nipe maandazi kwanza mkate ntakula na chai ikichemka. ILIPOFIKA JIONI
Mwenyeji: Nkuandalie chips mayai au kuku?
Mgeni: Niandalie chips kuku kwanza, mayai naomba unichemshie 10 tu ili nishushie na ile sprite.MGENI KAMA HUYU WEWUTAMFANYAJE?
this goes to my brothers...
When a woman stops stressing, Stops getting jealous, & starting saying, "Nah I'm Not Mad, It's Cool" Stops arguing about small stuff, Stops worrying about you & Stops blowing up your phone....*JUST KNOW THAT THE LAST TEAR HAS DROPPED & SHE NO LONGER CARES!*
And everyone should always remember this....
Dont ignore your mom..
KUTOKA FACEBOOK
Posted by
Unknown
|
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment