MANENO KUMI TOKA KWA WASWAHILI....(

MANENO KUMI TOKA KWA WASWAHILI....(my Poo... umetisheeerrrrr) lol!!!
Am sure this is Mpoki's words..

Hata nyani awe hodari vipi hawezi kudandia tawi la benki

Hata uwe na heshima vp huwezi kugonga hodi mlango wa friji.

hata kinyozi awe mtaalam wa kunyoa mitindo kiasi gani kamwe hawezi kunyoa KICHWA CHA HABARI

Mwanamke hata awe baunsa vipi, hawezi tembea kifua wazi

Hata ukiwa mfupi kiasi gani, Huwezi kujifunika na leso

hata kama Mwalim NYERERE alikuwa BABUYAKO kamwe huwez kuwa MJUKUU wa TAIFA

Mwanamke tabia,sura hata mbuzi anayo.

Urefu na ufupi ni majaliwa ya Mungu lakini kitambi na mimba ni juhudi zetu wenyewe

Mpoki hapa ananiambia...hata ukizama vipi katika dimbwi la mapenzi hauwezi kuloa



Namaliza hivi...unapoletewa zawadi ya viatu na vikawa vikubwa basi fanya hivi...

Photo: Unadhani uyu ni wa mkoa gani?
 
 
 
Yours....hehhe.
C...

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment