The major reason why many fail today is because they look to others for how to behave, how to act, etc. Those who look to others for what to say, what to do and how to behave - circumstances dictate their direction. The greater challenges we face today is that we are tempted to look to others for solution. If only you have an independent mind, a mind of God that will speak for itself, you will not copy others or look to others for direction. When you look to others for an answer, you will not make a difference in your world. Man has the ability to lead; the Holy Spirit leads as He wills. The Holy Spirit is the best influence. Allow the One who created you to influence you in everything you do.
FACEBOOK akaniambia yeye anasoma huko arusha anaishi na wazazi wake na wazazi wake ni watu wenye uwezo sana kifedha kwakweli binti alikuwa mrembo sana midume kibao humu facebook ilimtongoza aliwatolea wote nje sababu alinipenda san namimi nilimpenda sana japo hatukuwahi kuonana tulikuwa tunachati humu facebook na kupeana mahaba mazito kwanjia ya simu kwakweli nalikuwa na hamu naye yeye alikuwa na hamu na mimi pia sikujishusha na mimi nikamdanganya mfanyakazi wa benk ya NMB hapa mwanza alifurahi akaniona na mimi nina future ya maisha kumbe mimi ni msela nipo mtaani tena maisha ya nyumbani na maisha yangu ni magumu sana japo yeye akulijua hilo nilimuheshumu sana nilichati nae kwa displini yaani nilikuwa sitaki madem wa facebook wa nizoee nayeye akutaka mazoea na madume ili kulinda penzi letu kuna siku moja nilikuwa nimekaa nyumbani mpenzi wangu alinipigia simu akaniambia matokeo ya mtihani yametoka naamefanya vizuli kwahiyo wazazi wake wamemtafutia chuo sweden nilisitika sana nikajua hapo ndio mwisho wa penzi letu. Lakni alinifaliji kwakuwa sina jinsi ya kumzuia nilimwambia poa asiende huko akanisahau mimi nasiku iliyofuata wakamfanyia mpango akapanda ndege akaenda huko sweden tuliendelea kuchati kama kawaida lakin mimi huku nikaona umri unazidi kwenda na maisha yangu yanazidikuwa magumu tu ikabidi nimpigie aunt yangu aliluwepo huko arusha anitafutie kazi yeyote ili niweze kupata fedha za kukidhi mahitaji yangu aunt alinielewa akaniambia nimpe wiki moja atakuwa ameshanipa jibu nilikaa nyumbani kama siku tatu aunty akanipgia simu akaniambia ameshapata kazi ya house boy kama niko tayari nijiandae niende nilifurahi sana kusikia hivyo. NLIFANYA MAANDALIZI SIKU HIYO HIYO KESHO YAKE ASUBUH NKAPANDA GARI SAFARI
IKAANZA NASHKURU MUNGU NLIFIKA SALAMA JIJI LA ARUSHA NKAMKUTA AUNTY ANANSUBIRIA PALE STAND ALINPOKEA VIZURI AKANIPELEKA KWAKE
NKALALA ASUBUH KULIPOKUCHA AKANPELEKA HAPO NYUMBANI KWA BOSS WANGU WALINPOKEA VIZURI
WAKANIONYESHA MAZINGIRA YA NYUMBA SIKu HIYOHIYO NKAANZA SHUGHULI ZA PALE
NYUMBANI NA KIPIND CHOTE HCHO NLIKUWa NACHAT VIZURI TU NA YULE MPENZ WANG NA AKIJUA MI NAFANYA KAZI NMB KUMBE MI HOUSE BOY TU
KWA KWELI BOSS WANGU ALIKUWA NI MTU MWENYE UWEZO SANA YAN NYUMBA NLIYOKUWA NAISH NI KAMA IKULU YAN SIKUTEGEMEA KAMA NINGEKUJA KUISH KWNYE NYUMBA KAMA HYO CHA AJABU
HAKUKUWA NA MTOTO HATA MMOJA NA NLIPOMUULIZA ALINIAMBIA ANA WATOTO
WAWILI NA WOTE WAPO MASOMON NJE YA NCHI
NLIENDELEA NA KAZI KAMA KAWAIDA
BOSS WANGU ALINPENDA SANA NLIKUWA MKARIMU MPOLE MCHAPAKAZI YAN MAISHA YALIENDA POWA
NA SIKUACHA KUCHAT NA
KUFRAH NA YULE MPENZ
WANGU CKU MOJA BOSS ALINIAMBIA
NIANDAE MAPISH YA UKWELI
SABABU KUNA MWANAYE WA
KIKE ANAKUJA KUTOKA
MASMON NLIMUAMBIA POWA
NLIFRAH SANA KUSKIA ZILE HABARI SABABU NLIKUWA
NATAMAN KUWAJUA SANA
WATOTO WA BOSS WANGU
ULIPOFIKA MDA YEYE PAMOJA
NA MKE WAKE WALINIAGA
WANAENDA AIR POT KUMPOKEA MTOTO WAO MI WAKANIACHA
NAANDAA MSOSI PALE HME
NILIMALIZA KUANDAA MSOSI
NA MDA SIO MREFU NKASKIA
HONI YA GARI NKAKIMBIA
FASTA KUFUNGUA GETI GARI IKAINGIA NKASHUSHA MIZIGO
NAO PIA WAKASHUKA JAMAN
MSHTUKO NLIOUPATA HUJAWAH
TOKEA YULE BINTI ALIYESHUKA
NDO YULE AMBAYE NACHATIGI
NAYE HUMU FACEBOOK YAN NDO YULE MPENZI WANGU JAMAN KUMBE
PALE NAPOFANYA KAZI NDO
KWAO MY GOD MIMI
NLIMGUNDUA FASTA ILA YEYE
DIZAID AKUNITAMBUA SABABU PICHA ZANGU NA JINSI NLIVOKUA NI TOFAUTI KABISA SABABU YEYE HADI
NGUO ALIZOVAA NAZIJUA COZ
KAPIGIA PICHA KIBAO FB
JAMAN NLITETEMEKA SANA
NKATAMAN ARDH IPASUKE
NIZAME
Cico's,,,,ZILIPENDWAA
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin
... 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa na mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au pindo la kanga au kifuani
9. Wavulana Kuvaa Nguo ya ndani aina moja nchi nzima ya pundamilia
10. Ku rewind kanda kwa peni
11. Nchi nzima Kuangalia Movie ya Commando John, Double Impact, Rambo, Bluce Lee kimando kipensi na coming to America..
12. Watoto Wa Mtaa Mzima Kufahamiana sababu ya kucheza wote Kombolela na Kibaba..
13. Kuunguzana na mbegu ya ubuyu baada ya kuisugua chini
14. Kukata ndala kama kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu
16. kuweka kioo chini kuwachungulia wasichana.
17. Kuweka Shati la Shule "Blue" eti liwe zuri.
18. Ubitoz Ulikuwa ni Kusimamisha Kola Ya Shati ilowekwa blue.
19. Ukiandika Barua kwa Umpendae lazima uchore moyo na Mkuki na lazima upulizie Pafyumu ya "YU".
20. Hata kama Mlikuwa mmegombana January lakini Mtu anakuambia "Utaipata Siku Ya Kufunga Shule".
21. kufunga shule na mtu(unamdunda mpaka ajute)
22. Kujichora kwa bikari kwa maana tatoo
23. kijinsi kilichovaliwa ndani ya kaptura ya shule kiliitwa dabali
24. kung'ang'ania kujib maswal darasan hata km hujachaguliwa huku ukionesha usongo wako kwa kusimama na kupigiza vdole vyako huku uksema"mimi!mimi!
25.Kuweka ulimbo kunasa vindege
Candy...
Unakumbuka haya;
0 comments:
Post a Comment