Hussein(Sharomilionea)Gone too soon.

Maisha ya binadamu hakika ni mafupi sana
Hakuna ambaye anajua mwisho wa maisha yake
Natafakari sana Kifo,
Ni fumbo ambalo Hakuna anayeweza kulifumbua.

Sitaki kuamini lakini habari zinasemekana kwamba Hussein Mkiety(Sharomilionea) hatuko nae tena duniani baada ya ajali iliyomtokea Mkoani Tanga...

Am really out of words and cant express what i feel,
But he was one among the people who broke my ribs,
I loved his creativity in comedy and how talented he was.
Its hard to beleive that he is actually gone.(still praying when i wake up there is change of news)






Dont wanna believe that you are gone,,,
Hope to wake up and find this is a dream,...
25 is still a very young age....


One of his works that iLove so much....






Rest in Peace Hussein..
still cant believe.....
Candy

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment